MTOTO WA KIJAPANI NA MAAJABU YAKE!

Mtoto huyu kama unavyomuona kwenye picha,
Ni mtoto aitwaye kwa jina maarufu baby chanco.
Ni mwenye umri wa miezi sita hadi sasa, lakini
Kinachowashangaza wengi ni hizo nywele zake,
Alizaliwa akiwa na nywele ndefu kuliko kawaida ya
Watoto wengine.
Amejipatia umaarufu zaidi katika mitandao ya
Ya kijamii, hasa mtandao wa instagram ambapo
Hadi sasa amefikisha wafuasi zaidi ya 118k
Laki moja na elfu kumi na nane kabla ya kufikisha umri wa mwaka mmoja.
Huenda sio ajabu sana kwako, lakini unajua ni
Muda gani wanawake wa kiafrika wanautumia kufikisha  urefu wa nywele kama hizo?
Tembelea ukurasa wake wa Instagram kujionea mwenyewe