Posts

Showing posts from April, 2017

UNALIKUMBUKA HILI GOLI BORA LA KICHUYA?

Image
Hili ni goli ambalo halitaweza kusahauli hasa kwa timu pinzani yanga ambayo ilifungwa mabao mawili na Simba 2-1 mnamo tar 25 february 2017 Baada ya yanga kuongoza kwa bao la mapema ambayo ilizaa goli la  kuongoza. Kipindi cha pili timu ya simba ikasawazisha na hatimaye kupata bao la ushindi na mpira ukamalizika kwa 2-1