Posts

Showing posts from July, 2018

MTOTO WA KIJAPANI NA MAAJABU YAKE!

Image
Mtoto huyu kama unavyomuona kwenye picha, Ni mtoto aitwaye kwa jina maarufu baby chanco. Ni mwenye umri wa miezi sita hadi sasa, lakini Kinachowashangaza wengi ni hizo nywele zake, Alizaliwa akiwa na nywele ndefu kuliko kawaida ya Watoto wengine. Amejipatia umaarufu zaidi katika mitandao ya Ya kijamii, hasa mtandao wa instagram ambapo Hadi sasa amefikisha wafuasi zaidi ya 118k Laki moja na elfu kumi na nane kabla ya kufikisha umri wa mwaka mmoja. Huenda sio ajabu sana kwako, lakini unajua ni Muda gani wanawake wa kiafrika wanautumia kufikisha  urefu wa nywele kama hizo? Tembelea ukurasa wake wa Instagram kujionea mwenyewe

ORCHITIS- INTRODUCTION, CAUSES, SYMPTOMS AND DIAGNOSIS

Image
Introduction Orchitis is an inflammatory disorder occurring in one or both testicles of males, widely caused by various types of bacterial and viral infections. It is a type of infection may also be a progression of epididymitis, an infection with the tube that carries semen from the testicles. This condition is called epididymo-orchitis. Orchitis may also be caused by sexually transmitted infections such as chlamydia and gonorrhea. In children with orchitis is generally caused by the infection with mumps virus. Types of orchitis There are two types of orchitis called as acute orchitis and chronic orchitis. Acute orchitis Acute orchitis always occurs as a secondary disease or complication of cystitis, urethritis, benign prostatic hyperplasia (BPH), prostatitis and other reproductive diseases. It is often caused by urinary infection commonly in young adults and kids. The symptoms of Acute orchitis are sudden fever and chill, pain in the scrotum, swelling, redness, tense ...