Posts

Showing posts from August, 2018

VIDEO: WCB WASAFI FT DIAMOND, LAVALAVA & MBOSO-JIBEBE

Image
DOWNLOAD

Mesen Selekta-Baunsa

Image
Baada ya kubonyeza kitufe cha Download, utabonyeza mshale unaoshuka chini LISTEN  or  DOWNLOAD

Nuh Mziwanda ft Ben pol-Kitu na box

Image
Nuh Mziwanda ft Ben Pol-kitu na Box LISTEN  or  DOWNLOAD

Diamond platnumz, lava lava, mboso- Jibebe

Image
Diamond platnumz, lava lava, mbosso-Jibebe DOWNLOAD

Mega & Kenyovely-Unazingua

Image
Mega & Kenyovely-Unazingua Mp3 Baada ya kubonyeza download utaona Mshale unaoshuka chini na kubonyeza, hapo Utakuwa umefanikiwa kuudownload wimbo huu DOWNLOAD

AMRI ATHUMAN (KING MAJUTO) AMEFARIKI

Image
Msanii wa vichekesho nchini Amri Athuman maarufu King Majuto, amefariki leo Jumatano Agosti 8, 2018 saa mbili kamili usiku katika hospitali ya taifa ya Muhimbili ambako alilazwa tangu tarehe 31 Julai, 2018. Taarifa za msiba huo wa nguli wa maigizo zimethibitishwa na Afisa habari wa Muhimbili Aminiel Eligaisha ambapo amesema Mzee Majuto amefariki akiwa anaendelea na matibabu ambayo aliyaanza Julai 31, mwaka huu baada ya jitihada za madaktari kuokoa uhai wake kushindikana. ''Hali yake ilibadilika majira ya saa tisa alasiri ya leo hivyo kuhamishwa kutoka jengo la Sewahaji kwenda ICU. Ilipofika saa 1.30 jioni hii hali yake ilibadilika zaidi na madaktari walijitahidi kuokoa maisha yake bila mafanikio. Ilipofika saa mbili alikata roho'' , amesema. Mzee Majuto alianza kuumwa muda mrefu akisumbuliwa na tatizo la nyonga ambapo mapema mwezi Mei alipelekwa nchini India kwaajili ya matibabu kabla ya kurejea nchini mwezi Juni ambapo alifikia Muhimbili lakini baadae alipata nafu...